KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida huko Tabora, binti mmoja ambaye bado hajafahamika jina, anasakwa na jeshi la polisi kwa kutupa chooni kitoto kichanga cha siku kati ya kumi na moja hivi na siku ishirini.
Kitoto hicho kiliopolewa kikiwa hai huku kikiwa kimetapakaa kinyesi mwili mzima baada ya kukaa ndani ya lindi la kinyesi (chooni) kwa zaidi ya saa ma3!
Tukio hili la kusikitisha limetokea juzi Jumatano Mtaa wa 50, maeneo ya gongoni kati kati ya mji wa Tabora.
No comments:
Post a Comment