Tuesday, August 9, 2011
Je, Yesu Kristo ni Mungu?
YESU si Mungu wala mwana wa Mungu; al-quran inathibitisha hivyo.
Yeye ni kiumbe kama ilivyo kwako wewe na mimi.
Alizaliwa na mwanamke Maryamu kama wanavyo zaa wanawake wote duniani, akanyonya maziwa ya mama yake; alikuwa akuila chakula, akienda haja na kulala.
Mungu wa kweli hana sifa kama hizo.
Ni upungufu wa akili kwa mtuanayejiita amesoma kuamini uungu wa Yesu.
Ni kufuru kubwa ambaye Mwenyezi Mungu (Allah) hatoisamehe.
Na mwenye kuamini itikadi hiyo ya kipagani, basi ajiandalie makazi yake motoni.
.................
Wakristo wanasema: "Mungu ana mtoto (Yesu). Ametakasika Mwenyezi Mungu. Bali kila kitu duniani na mbinguni ni vyake. Kila kitu kinamnyenyekea Yeye tu." Quran 2: 116. Na KUMBUKA ALIPOSEMA MWENYEZI MUNGU: "EWE ISA BIN MARYAMU (YESU): Hivi wewe uliwaambia watu (Wakristo) wakufanye wewe na mama yako (Maryamu) waungu kinyume cha Mwenyezi Mungu mmoja? Akasema Yesu kumjibu Mungu wake: "Utukufu ni wako tu Allah. Haikuwa wajibu wangu kusema kitu ambacho sikijui wala si haki kwangu. Kama nilisema wewe unajua. Unayajua yote yaliyo katika nafsi yangu wala mimi sijui yaliyo katika nafsi yako. Hakika wewe unayajua yote ya ghaibu. Sikusema ila yale tu uliyo niamrisha kwayo ya kwamba muabuduni Mungu mmoja, mola wangu na mola wenu. Mimi nilikuwa shahidi wakati nilipokuwa nao. Lakini uliponifisha (............... Yesu kafa kwa ushahidi wa aya hii), wewe ndiye ulikuwa mchungaji wao. Wewe ndiye muweza juu ya kila kitu. Ukiwaadhibu hao ni waja wako. Na ukiwasamehe hakika wewe ni mwenye nguvu na muamuzi," Quran 5: 116-118 (Suratil Maida). Hapa Quran imeweka bayana kuwa uungu wa Yesu umebuniwa na Paulo, aliyeanzisha Ukristo huko Antokia, miaka 40 baada ya Yesu kufa. Paulo hakuwa Myahudi, hajawahi kumwona Yesu na wala hakuwa mfuasi wake. Alijipachika utume na kuwahadaa watu ambao wanafuata kibugusa tu bila kuwa na hoja. Wakristo amkeni, Ukristo siyo Dini, ni upagani na ukafiri mtupu umejaa. Nasser Kigwangallah Journalist, Tell:+255 741 630 190 Dar es Salaam, Tanzania.
.................
Wakristo wanasema: "Mungu ana mtoto (Yesu). Ametakasika Mwenyezi Mungu. Bali kila kitu duniani na mbinguni ni vyake. Kila kitu kinamnyenyekea Yeye tu." Quran 2: 116.
................
Na KUMBUKA ALIPOSEMA MWENYEZI MUNGU: "EWE ISA BIN MARYAMU (YESU): Hivi wewe uliwaambia watu (Wakristo) wakufanye wewe na mama yako (Maryamu) waungu kinyume cha Mwenyezi Mungu mmoja? Akasema Yesu kumjibu Mungu wake: "Utukufu ni wako tu Allah. Haikuwa wajibu wangu kusema kitu ambacho sikijui wala si haki kwangu. Kama nilisema wewe unajua. Unayajua yote yaliyo katika nafsi yangu wala mimi sijui yaliyo katika nafsi yako. Hakika wewe unayajua yote ya ghaibu. Sikusema ila yale tu uliyo niamrisha kwayo ya kwamba muabuduni Mungu mmoja, mola wangu na mola wenu. Mimi nilikuwa shahidi wakati nilipokuwa nao. Lakini uliponifisha (............... Yesu kafa kwa ushahidi wa aya hii), wewe ndiye ulikuwa mchungaji wao. Wewe ndiye muweza juu ya kila kitu. Ukiwaadhibu hao ni waja wako. Na ukiwasamehe hakika wewe ni mwenye nguvu na muamuzi," Quran 5: 116-118 (Suratil Maida). Hapa Quran imeweka bayana kuwa uungu wa Yesu umebuniwa na Paulo, aliyeanzisha Ukristo
huko Antokia, miaka 40 baada ya Yesu kufa. Paulo hakuwa Myahudi, hajawahi kumwona Yesu na wala hakuwa mfuasi wake. Alijipachika utume na kuwahadaa watu ambao wanafuata kibugusa tu bila kuwa na hoja.
Wakristo amkeni, Ukristo siyo Dini, ni upagani na ukafiri mtupu umejaa.
....................................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment