Kutoka kushoto ni: Raisi wa Zanzibar Abeid A. Karume, mgeni wao Mfalme Haile Selasie wa Ethiopia na Rais Julius K. Nyerere wa Tanganyika
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26th April, 1964. Hapa Rais Wa Tanganyika akichanganya mchanga wa nchi mbili hizi katika Ikulu, Dar es Salaa.Muungano ndio chimbuko la mgogoro ambao tunaendelea nao hadi leo hii.
No comments:
Post a Comment