Wednesday, August 17, 2011

Iddi Amin awahenyesha Waingereza: Wambeba juu kwa juu

Iddi Amin Dada, kiongozi wa Uganda toka mwaka 1971 hadi 1979 alipopinduliwa na majeshi ya Tanzania kwa amri ya Nyerere, akiwa amebebwa juu kwa juu na wazungu kuelekea kwenye kikao cha wakuu wa nchi za Kiafrika, mjini Kampala yeye akiwa mwenyekiti wake

No comments:

Post a Comment