KWA muda mrefu sasa, Shirika la ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kabisa kutatua tatizo la muda mrefu ambalo limeikumba nchi hii kwa kuwa uwajibikaji wake ni mdogo. Kinachotakiwa sasa ni kwa serikali kufungua milango kwa wawekezaji kutoka nchi za nje na pia kwa wazalendo ambao wana uwezo wa kuzalisha, kusambaza na kuuza umeme kwa wananchi kwa bei nafuu ili tatizo hili liweze kumalizika kabisa.
Huu ni muda muafaka wa kulisambaratisha Shirika la Umeeme nchini ili wananchi waondokane na adha hii ya kila siku.
ReplyDeleteNasser