Saturday, October 20, 2012
KATIBU WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU (T) SHEIKH PONDA ISSA PONDA AKAMATWA NA POLISI
Suleiman Kova
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Katibu wa Jumuiya tajwa hapo juu maarufu kama PONDA ISSA PONDA kwa makosa mbali mbali ya kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani jijini Dar es Salaam.
Aidha hivi karibuni Sheikh Ponda Issa Ponda aliongoza kundi la wafuasi wake na kuvamia kiwanja No. 311/3/4 BLOCK “T” eneo la Chang’ombe katika Manispaa ya Temeke mali ya Kampuni ya AGRITANZA ambayo ipo chini ya Kurugenzi ya Kampuni hiyo. Mnamo tarehe 12/10/2012 Ponda Issa Ponda aliwaongoza wafuasi wake walioteka eneo hilo wakidai kwamba wanakomboa.
Mali za Waislamu, zilizouzwa na BAKWATA, uchunguzi wa awali umeonyesha kwamba kiwanja hicho kina hati miliki No. 93773 uliotolewa na Wizara ya Ardhi pamoja na mikataba mbali mbali ya kuuziana au kubadilishana kati ya BAKWATA na Kampuni tajwa hapo juu. Pia uongozi wa BAKWATA umeleta mashahidi kuthibitisha uhalali wa kiwanja hicho kumilikiwa na Kampuni tajwa. Hivyo watu wote waliovamia eneo hilo wakiongozwa na Sheikh Ponda wanakabiliwa na shtaka la kuingia kwa jinai pamoja na uharibifu wa mali katika eneo hilo. Sambamba na kukamatwa kwa Sheikh Ponda tarehe 16/10/2012 saa 4.00 usiku karibu na eneo la maficho yake ambapo aliletwa na pikipiki.
WATU 38 WAMEKAMATWA KWA KOSA LA JINAI NA UHARIBIFU
Wakati huo huo sambamba na kukamatwa kwa Sheikh Ponda Issa Ponda Polisi walifanya operesheni maalumu ya kuwaondoa wavamizi katika kiwanja tajwa hapo juu kinachomilikiwa na Kampuni AGRITANZA. Watu wapatao 38 walikutwa katika eneo la kiwanja hicho ambacho kati ya hao (7) ni wanawake na 31 ni wanaume.
Operesheni hiyo ilifanyika tarehe 17/10/2012 usiku wa manane kuanzia saa tisa hadi saa kumi na nusu usiku kwa muda wa dakika 90. Katika eneo hilo vilikutwa vielelzo mbali mbali vikiwemo visu na mapanga na pia nyenzo mbali mbali za ujenzi, pamoja na vifaa vya ujenzi, vielelezo hivyo vimehifadhiwa katika kituo cha Polisi tayari kwa ajili ya ushahidi mahakamani.
SHEIKH PONDA KUSABABISHA VURUGU NA VITISHO
Katika siku za hivi karibuni Sheikh Ponda Issa Ponda amekuwa akiwaongoza wafuasi wake chini ya Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania kwa kufanya maandamano kinyume cha Taratibu na kuhamasisha umwagaji damu jijini Dar es Salaam na nchini Tanzania kwa ujumla.
Kwa ujumla Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania inayoongozwa na Sheikh Ponda haijasajiliwa kisheria lakini wanatihumiwa kwa uchochezi wa hali ya juu ambapo licha ya kufanya maadamano kinyume na sheria pia siku ya tarehe 12/10/2012 walisababisha kuvunja kwa makanisa zaidi ya manane, uharibifu wa magari na wizi au upotevu wa vifaa katika makanisa, yote hayo yameongozwa na Sheikh Ponda na madhara yake ni makubwa.
Sheikh Ponda amekuwa mstari wa mbele kupambana na vyombo vya dola pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama kwa kudai watuhumuwa waliokamatwa kwa uvunjaji wa makanisa na kufikishwa mahakamani waachiwe mara moja kabla siku saba na kadhalika. Uchunguzi wa watuhumiwa wote 39 unaendelea na kufikishwa mahakamani mara baada ya kupitishwa na wakili wa Serikali kuthibitisha mashitaka.
————————
Nukuu za matamshi ya Kamanda Kova alipokuwa akitoa taarifa:
“Sheikh ponda amekuwa mstari wa mbele kupambana na vyombo vya dola na kuingilia uhuru wa Mahakama kwa kudai watuhumiwa waliokamatwa kwa uvunjaji wa makanisa na kufikishwa Mahakamani waachiwe mara moja kabla ya siku saba”
“Ponda alikamatwa juzi majira ya saa 4:30 usiku akiwa kwenye pikipiki kuelekea katika maficho yake maeneo ya Temeke”
“Juzi usiku sijalala kabisa kuhakikisha oparesheni ya kumkamata inakwenda salama, Ponda ni mjanja sana ila Serikali ina mkono mrefu kabla ajaingia katika maficho yake Temeke, alijaribu kukimbia ili atoroke lakini akakamatwa”
“Ponda akiwa na wafuasi wake walivamia kiwanja hicho cha agritanza na kudai kuwa wanakomboa mali za waislamu zilizouzwa na BAKWATA”
“kati ya watu 38 tuliowakamta wanawake ni saba na wanaume ni 31 na tuliwakuta na silaha mbalimbali kama visu, mapanga, sururu na vifaa vya kuvunjia na vya ujenzi, jenereta na kujenga jengo la haraka”
“Jeshi la Polisi limemvumilia Ponda kwa muda mrefu… watu wanaoandamana kinyume cha taratibu waache.”
“Nawasifu sana Wakristo ni wavumilivu, wana busara kwa tukio la Mbagala la kuchoma Makanisa la sivyo hali ingekuwa ya hatari na hata hivyo Jumuiya ya Taasisi za Kiislam haijasajiliwa kisheria”
“Wafuasi wengine wajisalimishe kwani opareheni inaendelea na watawachukulia hatua za kisheria”
“Nawaasa Wananchi kutumia akili zao binafsi na kuacha kufuata mkumbo kwa kuwa watashughulikiwa.”
KUKOJOLEWA KWA QURAN KWALETA TAHARUKI KUBWA JIJINI DAR ES SALAAM
Police and the army in Dar es Salaam
Church Buildings Attacked across Tanzania
Muslims incited to destruction after children's argument leads to alleged defiling of Koran
By Dan Wooding
Founder of ASSIST Ministries
TANZANIA (ANS) -- According to Morning Star News, Islamists burned several church buildings in various parts of Tanzania this week after two children's argument about the Koran resulted in a Christian boy allegedly defiling Islam's sacred book.
A church on fire in Zanzibar
The attacks took place in the normally peaceful country from its western border to its semi-autonomous island of Zanzibar. In Kigoma, on the western border, two church buildings were set ablaze on Sunday (Oct. 14), and the roof of another one was destroyed; on the island of Zanzibar in the Indian Ocean some 25 kilometers (16 miles) off the Tanzanian coast, Muslim extremists on Saturday (Oct. 13) demolished a building belonging to the Evangelical Assemblies of God-Tanzania in Fuoni, near Zanzibar City; and in Dar es Salaam on the mainland, where two boys' argument over the Koran set off the violence, three church buildings were set on fire on Friday (Oct. 12), and another was destroyed yesterday, sources told Morning Star News.
Morning Star News said that yesterday's destruction of the Evangelical Lutheran Church building in Dar es Salaam's Teneke district took place at 1 p.m., said a source who requested anonymity, adding that agitators were stirring up rancor in mosques throughout the country.
"'We shall continue attacking the churches until they are no more in Tanzania' was a word echoed in several mosques in Tanzania," the source said by phone.
Brighton L. Killewa, secretary general of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania, confirmed that suspected Islamic extremists burned down the church building in Dar es Salaam's Teneke district on Thursday (Oct. 18).
The attacks on church buildings came after Muslims began falsely asserting that Christians had sent the Christian boy to his Muslim friend with the intent of urinating on the Koran in the Mbagala area of Dar es Salaam on Oct. 10, sources said.
The Muslim boy, 12-year-old Zakaria Hamisi Mbonde, had left a madrassa (Islamic school) and had his Koran when he met up with his friend Emmanuel Mwinuka, 13, an area source who spoke with the Muslim child told Morning Star News.
When Emmanuel asked to see the Koran, Zakaria jokingly told him that if he played with it or urinated on it, he would turn into a dog or snake, the source said. The comment turned into an argument that led to Emmanuel allegedly testing his friend's assertion.
"When I arrived at home, my parents questioned me regarding the affected Koran, and I told them my friend Mbonde urinated on the Koran," Zakaria told the area source.
The two families met and tried to settle the matter, without full satisfaction; word of the incident spread fast, quickly inflaming passions in area mosques in Chamanzi, an area within Mbagala Ward of Dar es Salaam, the source said.
Obeid Fabian, who as chairman of the Pastors' Fellowship in Zanzibar is a spokesman for Christians to the archipelago government, said he received details about the incident from contacts in Dar es Salaam.
"As tension mounted up in the mosque, Emmanuel was picked up by the police at his home place and taken to the Chamanzi police station for interrogation," Fabian said.
Morning Star News added, "Enraged Muslims stormed the police station on Oct. 12, demanding that the boy be handed over to them to be slaughtered. Police refused, and the group became furious, mistakenly assuming Christians had sent Emmanuel to desecrate the Koran, Fabian said.
"The mob burned a Seventh-day Adventist church in Mbagala, causing damages of an estimated 25.2 million Tanzanian shillings (US$15,710); then they burned an area Anglican church, though a church secretary there was unsure of the amount of damages; the mob also set fire to a Tanzania Assemblies of God (TAG) church building, with Assistant Bishop Magnus Mhiche saying damages amounted to 40 million Tanzanian shillings (US$24,940).
"Several cars of unconfirmed value were also destroyed, and two Catholic Church buildings were also reportedly damaged."
Tanzania's Muslims, 31 percent of the total population, are largely tolerant but have become increasingly polarized between moderates and extremists, according to Operation World. Christians make up 54 percent of the country's population.
Inflammatory Statements
In the attacks on the other side of the country in Kigoma, the two church buildings burned on Sunday (Oct. 14) belong to the TAG and another to the United Pentecostal Churches in Tanzania; an Anglican church building on the outskirts of Kigoma, in Ujiji, lost its roof to the mob that day, a source told Morning Star News.
The previous night (Oct. 13) on Zanzibar Island, Muslim extremists in Fuoni, on the outskirts of Zanzibar City, attacked an Evangelical Assemblies of God-Tanzania church, pulling it down during the night, a source said. By Sunday morning, separatists from the extremist group Uamsho, the Association for Islamic Mobilization and Propagation, had raised their flag at the site, he said.
On Tuesday (Oct. 16), Bishop David Mwasoda, general secretary of the Pentecostal Churches in Zanzibar, released a statement appealing for protection.
"The Pentecostal Churches in Zanzibar do hereby appeal to the president to offer protection to the churches and Christians in Zanzibar who have become victims of attack in the recent years," the statement reads.
The story goes on to say that more than 126 people associated with the violence in Tanzania have been detained, including Sheik Ponda Issa Ponda, secretary of the extremist Council of Muslims' Organizations, who was reportedly arrested on charges of inciting religious hatred. The council is linked to Uamsho.
It adds that on Wednesday (Oct. 17), Evangelical Lutheran Church in Tanzania leaders released a statement saying churches had also been set ablaze in Mdaula, Mto wa Mbu, Tunduru and Rufiji. The Mbagala attacks, they stated, resulted from inflammatory statements by local religious leaders. They also blamed media outlets for instigating religious hatred.
Calling on Christians to continue fasting and praying for peace, they stated, "Christians are not ready to kill, punish or take revenge . . . Our God is not defended through violence, killing and burning other people's properties."
For more information, please contact editor@morningstarnews.org.
Note: Find Morning Star News at the website of International Christian Response (ICR), http://christianresponse.org/index.php?page=news . Later this year look for Morning Star News at www.morningstarnews.org.
Tweet: https://twitter.com/morningstarnewz/
Facebook: http://www.facebook.com/MorningStarNews
Dan Wooding, 71, who was born in Nigeria of British missionary parents, is an award winning British journalist now living in Southern California with his wife Norma, to whom he has been married for 49 years. They have two sons, Andrew and Peter, and six grandchildren who all live in the UK. He is the founder and international director of ASSIST (Aid to Special Saints in Strategic Times) and the ASSIST News Service (ANS) and he hosts the weekly "Front Page Radio" show on the KWVE Radio Network in Southern California and which is also carried throughout the United States and around the world. Besides this, Wooding is a host for His Channel Live, which is carried via the Internet to some 192 countries. Dan recently received two top media awards -- the "Passion for the Persecuted" award from Open Doors US, and as one of the top "Newsmakers of 2011" from Plain Truth magazine. He is the author of some 45 books, the latest of which is "Caped Crusader: Rick Wakeman in the 1970s."
Friday, June 29, 2012
TIGO KICKS-OFF SABASABA WITH A STYLE
Tigo kicks – off SabaSaba on High Note
27 June, 2012, Dar es salaam. Tigo is turning the heat this weekend with lineup of major artists performing live against the stunning backdrop of the beach.
The two – day celebration, which marks the start of the Saba Saba Trade Fail, will be held at coco Beach on Saturday June 30 and Sunday, July 1, 2012 from 11 a.m. to 6 p.m. Take centre stage on Saturday and test out your vocal, dance and acrobatic skills as you complete against other entrants in the Tigo underground Talent Show. Or sit back relax and enjoy the latest Hits from Mr. Nice and H.Baba.
‘’ this year we have chosen jam – pack the weekend with a lot of entertaining activities,’’ said Alice Maro, public relation officer of Tigo. ‘’ we don’t only want people to come and enjoy themselves this weekend, but we have also made our products and services readily available and easily accessible for them to also enjoy,’’ she said.
The height of the celebration will be on Sunday with performances from Juma Nature, Roma Mkatoliki, Izzo B, Professor J, Mwasiti, Barnabas, Fid Q, Joh Makini and a special performance by the actor of the ‘Origino Comedy Show.’
There will no need to head home early once sun goes down, since the party’s climax marks the beginning of the Euro 2012 Finals. Catch the game live on the Big Screen beginning from 8 p.m.
Admission is free, and Tigo encourages everyone to come on down to Coco Beach and celebrate Saba Saba in a big way!
About Tigo
Tigo, the first cellular networks in Tanzania, started operations in 1994 and is Tanzania’s most affordable and innovative mobile phone operator covering 26 regions in mainland Tanzania anad Zanzibar.
Tigo is part of Millicon International Cellullar S.A (MIC) which provides affordable, widely accessible and readily available cellular telephony, robust mobile financial services and the fastest and most reliable internet connection to more than 43 customers in emerging markets in Africa and Latin America.
For futher information visit: www.tigo.co.tz
Issued by: Alice Maro ● PR-Tigo ● Mobile +255 713 123754
Subscribe to:
Posts (Atom)