Saturday, October 20, 2012

ASKARI JESHI MITAANI DAR ES SALAAM

Askari jeshi jijini Dar es Salaam

KATIBU WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU (T) SHEIKH PONDA ISSA PONDA AKAMATWA NA POLISI

Suleiman Kova Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Katibu wa Jumuiya tajwa hapo juu maarufu kama PONDA ISSA PONDA kwa makosa mbali mbali ya kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani jijini Dar es Salaam. Aidha hivi karibuni Sheikh Ponda Issa Ponda aliongoza kundi la wafuasi wake na kuvamia kiwanja No. 311/3/4 BLOCK “T” eneo la Chang’ombe katika Manispaa ya Temeke mali ya Kampuni ya AGRITANZA ambayo ipo chini ya Kurugenzi ya Kampuni hiyo. Mnamo tarehe 12/10/2012 Ponda Issa Ponda aliwaongoza wafuasi wake walioteka eneo hilo wakidai kwamba wanakomboa. Mali za Waislamu, zilizouzwa na BAKWATA, uchunguzi wa awali umeonyesha kwamba kiwanja hicho kina hati miliki No. 93773 uliotolewa na Wizara ya Ardhi pamoja na mikataba mbali mbali ya kuuziana au kubadilishana kati ya BAKWATA na Kampuni tajwa hapo juu. Pia uongozi wa BAKWATA umeleta mashahidi kuthibitisha uhalali wa kiwanja hicho kumilikiwa na Kampuni tajwa. Hivyo watu wote waliovamia eneo hilo wakiongozwa na Sheikh Ponda wanakabiliwa na shtaka la kuingia kwa jinai pamoja na uharibifu wa mali katika eneo hilo. Sambamba na kukamatwa kwa Sheikh Ponda tarehe 16/10/2012 saa 4.00 usiku karibu na eneo la maficho yake ambapo aliletwa na pikipiki. WATU 38 WAMEKAMATWA KWA KOSA LA JINAI NA UHARIBIFU Wakati huo huo sambamba na kukamatwa kwa Sheikh Ponda Issa Ponda Polisi walifanya operesheni maalumu ya kuwaondoa wavamizi katika kiwanja tajwa hapo juu kinachomilikiwa na Kampuni AGRITANZA. Watu wapatao 38 walikutwa katika eneo la kiwanja hicho ambacho kati ya hao (7) ni wanawake na 31 ni wanaume. Operesheni hiyo ilifanyika tarehe 17/10/2012 usiku wa manane kuanzia saa tisa hadi saa kumi na nusu usiku kwa muda wa dakika 90. Katika eneo hilo vilikutwa vielelzo mbali mbali vikiwemo visu na mapanga na pia nyenzo mbali mbali za ujenzi, pamoja na vifaa vya ujenzi, vielelezo hivyo vimehifadhiwa katika kituo cha Polisi tayari kwa ajili ya ushahidi mahakamani. SHEIKH PONDA KUSABABISHA VURUGU NA VITISHO Katika siku za hivi karibuni Sheikh Ponda Issa Ponda amekuwa akiwaongoza wafuasi wake chini ya Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania kwa kufanya maandamano kinyume cha Taratibu na kuhamasisha umwagaji damu jijini Dar es Salaam na nchini Tanzania kwa ujumla. Kwa ujumla Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania inayoongozwa na Sheikh Ponda haijasajiliwa kisheria lakini wanatihumiwa kwa uchochezi wa hali ya juu ambapo licha ya kufanya maadamano kinyume na sheria pia siku ya tarehe 12/10/2012 walisababisha kuvunja kwa makanisa zaidi ya manane, uharibifu wa magari na wizi au upotevu wa vifaa katika makanisa, yote hayo yameongozwa na Sheikh Ponda na madhara yake ni makubwa. Sheikh Ponda amekuwa mstari wa mbele kupambana na vyombo vya dola pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama kwa kudai watuhumuwa waliokamatwa kwa uvunjaji wa makanisa na kufikishwa mahakamani waachiwe mara moja kabla siku saba na kadhalika. Uchunguzi wa watuhumiwa wote 39 unaendelea na kufikishwa mahakamani mara baada ya kupitishwa na wakili wa Serikali kuthibitisha mashitaka. ———————— Nukuu za matamshi ya Kamanda Kova alipokuwa akitoa taarifa: “Sheikh ponda amekuwa mstari wa mbele kupambana na vyombo vya dola na kuingilia uhuru wa Mahakama kwa kudai watuhumiwa waliokamatwa kwa uvunjaji wa makanisa na kufikishwa Mahakamani waachiwe mara moja kabla ya siku saba” “Ponda alikamatwa juzi majira ya saa 4:30 usiku akiwa kwenye pikipiki kuelekea katika maficho yake maeneo ya Temeke” “Juzi usiku sijalala kabisa kuhakikisha oparesheni ya kumkamata inakwenda salama, Ponda ni mjanja sana ila Serikali ina mkono mrefu kabla ajaingia katika maficho yake Temeke, alijaribu kukimbia ili atoroke lakini akakamatwa” “Ponda akiwa na wafuasi wake walivamia kiwanja hicho cha agritanza na kudai kuwa wanakomboa mali za waislamu zilizouzwa na BAKWATA” “kati ya watu 38 tuliowakamta wanawake ni saba na wanaume ni 31 na tuliwakuta na silaha mbalimbali kama visu, mapanga, sururu na vifaa vya kuvunjia na vya ujenzi, jenereta na kujenga jengo la haraka” “Jeshi la Polisi limemvumilia Ponda kwa muda mrefu… watu wanaoandamana kinyume cha taratibu waache.” “Nawasifu sana Wakristo ni wavumilivu, wana busara kwa tukio la Mbagala la kuchoma Makanisa la sivyo hali ingekuwa ya hatari na hata hivyo Jumuiya ya Taasisi za Kiislam haijasajiliwa kisheria” “Wafuasi wengine wajisalimishe kwani opareheni inaendelea na watawachukulia hatua za kisheria” “Nawaasa Wananchi kutumia akili zao binafsi na kuacha kufuata mkumbo kwa kuwa watashughulikiwa.”

KUKOJOLEWA KWA QURAN KWALETA TAHARUKI KUBWA JIJINI DAR ES SALAAM

Police and the army in Dar es Salaam Church Buildings Attacked across Tanzania Muslims incited to destruction after children's argument leads to alleged defiling of Koran By Dan Wooding Founder of ASSIST Ministries TANZANIA (ANS) -- According to Morning Star News, Islamists burned several church buildings in various parts of Tanzania this week after two children's argument about the Koran resulted in a Christian boy allegedly defiling Islam's sacred book. A church on fire in Zanzibar The attacks took place in the normally peaceful country from its western border to its semi-autonomous island of Zanzibar. In Kigoma, on the western border, two church buildings were set ablaze on Sunday (Oct. 14), and the roof of another one was destroyed; on the island of Zanzibar in the Indian Ocean some 25 kilometers (16 miles) off the Tanzanian coast, Muslim extremists on Saturday (Oct. 13) demolished a building belonging to the Evangelical Assemblies of God-Tanzania in Fuoni, near Zanzibar City; and in Dar es Salaam on the mainland, where two boys' argument over the Koran set off the violence, three church buildings were set on fire on Friday (Oct. 12), and another was destroyed yesterday, sources told Morning Star News. Morning Star News said that yesterday's destruction of the Evangelical Lutheran Church building in Dar es Salaam's Teneke district took place at 1 p.m., said a source who requested anonymity, adding that agitators were stirring up rancor in mosques throughout the country. "'We shall continue attacking the churches until they are no more in Tanzania' was a word echoed in several mosques in Tanzania," the source said by phone. Brighton L. Killewa, secretary general of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania, confirmed that suspected Islamic extremists burned down the church building in Dar es Salaam's Teneke district on Thursday (Oct. 18). The attacks on church buildings came after Muslims began falsely asserting that Christians had sent the Christian boy to his Muslim friend with the intent of urinating on the Koran in the Mbagala area of Dar es Salaam on Oct. 10, sources said. The Muslim boy, 12-year-old Zakaria Hamisi Mbonde, had left a madrassa (Islamic school) and had his Koran when he met up with his friend Emmanuel Mwinuka, 13, an area source who spoke with the Muslim child told Morning Star News. When Emmanuel asked to see the Koran, Zakaria jokingly told him that if he played with it or urinated on it, he would turn into a dog or snake, the source said. The comment turned into an argument that led to Emmanuel allegedly testing his friend's assertion. "When I arrived at home, my parents questioned me regarding the affected Koran, and I told them my friend Mbonde urinated on the Koran," Zakaria told the area source. The two families met and tried to settle the matter, without full satisfaction; word of the incident spread fast, quickly inflaming passions in area mosques in Chamanzi, an area within Mbagala Ward of Dar es Salaam, the source said. Obeid Fabian, who as chairman of the Pastors' Fellowship in Zanzibar is a spokesman for Christians to the archipelago government, said he received details about the incident from contacts in Dar es Salaam. "As tension mounted up in the mosque, Emmanuel was picked up by the police at his home place and taken to the Chamanzi police station for interrogation," Fabian said. Morning Star News added, "Enraged Muslims stormed the police station on Oct. 12, demanding that the boy be handed over to them to be slaughtered. Police refused, and the group became furious, mistakenly assuming Christians had sent Emmanuel to desecrate the Koran, Fabian said. "The mob burned a Seventh-day Adventist church in Mbagala, causing damages of an estimated 25.2 million Tanzanian shillings (US$15,710); then they burned an area Anglican church, though a church secretary there was unsure of the amount of damages; the mob also set fire to a Tanzania Assemblies of God (TAG) church building, with Assistant Bishop Magnus Mhiche saying damages amounted to 40 million Tanzanian shillings (US$24,940). "Several cars of unconfirmed value were also destroyed, and two Catholic Church buildings were also reportedly damaged." Tanzania's Muslims, 31 percent of the total population, are largely tolerant but have become increasingly polarized between moderates and extremists, according to Operation World. Christians make up 54 percent of the country's population. Inflammatory Statements In the attacks on the other side of the country in Kigoma, the two church buildings burned on Sunday (Oct. 14) belong to the TAG and another to the United Pentecostal Churches in Tanzania; an Anglican church building on the outskirts of Kigoma, in Ujiji, lost its roof to the mob that day, a source told Morning Star News. The previous night (Oct. 13) on Zanzibar Island, Muslim extremists in Fuoni, on the outskirts of Zanzibar City, attacked an Evangelical Assemblies of God-Tanzania church, pulling it down during the night, a source said. By Sunday morning, separatists from the extremist group Uamsho, the Association for Islamic Mobilization and Propagation, had raised their flag at the site, he said. On Tuesday (Oct. 16), Bishop David Mwasoda, general secretary of the Pentecostal Churches in Zanzibar, released a statement appealing for protection. "The Pentecostal Churches in Zanzibar do hereby appeal to the president to offer protection to the churches and Christians in Zanzibar who have become victims of attack in the recent years," the statement reads. The story goes on to say that more than 126 people associated with the violence in Tanzania have been detained, including Sheik Ponda Issa Ponda, secretary of the extremist Council of Muslims' Organizations, who was reportedly arrested on charges of inciting religious hatred. The council is linked to Uamsho. It adds that on Wednesday (Oct. 17), Evangelical Lutheran Church in Tanzania leaders released a statement saying churches had also been set ablaze in Mdaula, Mto wa Mbu, Tunduru and Rufiji. The Mbagala attacks, they stated, resulted from inflammatory statements by local religious leaders. They also blamed media outlets for instigating religious hatred. Calling on Christians to continue fasting and praying for peace, they stated, "Christians are not ready to kill, punish or take revenge . . . Our God is not defended through violence, killing and burning other people's properties." For more information, please contact editor@morningstarnews.org. Note: Find Morning Star News at the website of International Christian Response (ICR), http://christianresponse.org/index.php?page=news . Later this year look for Morning Star News at www.morningstarnews.org. Tweet: https://twitter.com/morningstarnewz/ Facebook: http://www.facebook.com/MorningStarNews Dan Wooding, 71, who was born in Nigeria of British missionary parents, is an award winning British journalist now living in Southern California with his wife Norma, to whom he has been married for 49 years. They have two sons, Andrew and Peter, and six grandchildren who all live in the UK. He is the founder and international director of ASSIST (Aid to Special Saints in Strategic Times) and the ASSIST News Service (ANS) and he hosts the weekly "Front Page Radio" show on the KWVE Radio Network in Southern California and which is also carried throughout the United States and around the world. Besides this, Wooding is a host for His Channel Live, which is carried via the Internet to some 192 countries. Dan recently received two top media awards -- the "Passion for the Persecuted" award from Open Doors US, and as one of the top "Newsmakers of 2011" from Plain Truth magazine. He is the author of some 45 books, the latest of which is "Caped Crusader: Rick Wakeman in the 1970s."

Friday, June 29, 2012

TIGO KICKS-OFF SABASABA WITH A STYLE

Tigo kicks – off SabaSaba on High Note 27 June, 2012, Dar es salaam. Tigo is turning the heat this weekend with lineup of major artists performing live against the stunning backdrop of the beach. The two – day celebration, which marks the start of the Saba Saba Trade Fail, will be held at coco Beach on Saturday June 30 and Sunday, July 1, 2012 from 11 a.m. to 6 p.m. Take centre stage on Saturday and test out your vocal, dance and acrobatic skills as you complete against other entrants in the Tigo underground Talent Show. Or sit back relax and enjoy the latest Hits from Mr. Nice and H.Baba. ‘’ this year we have chosen jam – pack the weekend with a lot of entertaining activities,’’ said Alice Maro, public relation officer of Tigo. ‘’ we don’t only want people to come and enjoy themselves this weekend, but we have also made our products and services readily available and easily accessible for them to also enjoy,’’ she said. The height of the celebration will be on Sunday with performances from Juma Nature, Roma Mkatoliki, Izzo B, Professor J, Mwasiti, Barnabas, Fid Q, Joh Makini and a special performance by the actor of the ‘Origino Comedy Show.’ There will no need to head home early once sun goes down, since the party’s climax marks the beginning of the Euro 2012 Finals. Catch the game live on the Big Screen beginning from 8 p.m. Admission is free, and Tigo encourages everyone to come on down to Coco Beach and celebrate Saba Saba in a big way! About Tigo Tigo, the first cellular networks in Tanzania, started operations in 1994 and is Tanzania’s most affordable and innovative mobile phone operator covering 26 regions in mainland Tanzania anad Zanzibar. Tigo is part of Millicon International Cellullar S.A (MIC) which provides affordable, widely accessible and readily available cellular telephony, robust mobile financial services and the fastest and most reliable internet connection to more than 43 customers in emerging markets in Africa and Latin America. For futher information visit: www.tigo.co.tz Issued by: Alice Maro ● PR-Tigo ● Mobile +255 713 123754

Friday, November 18, 2011

TABOA wants corruption among police traffick stopped on roads

THE government has been urged to take stringent measures in order to curb corruption and negligence on part of law enforcement agencies so that accidents could be minimized in the country.
The call to that effect was echoed by the Tanzania Bus Owners Association (TABOA) secretary general Ennea Mrutu in an interview he granted to the Guardian in Dar es Salaam yesterday.
He said Tanzania Bus Owners Association (TABOA) has decided to use information and communication technology to educate its members on the increased road accidents, so as to avoid making mistakes while on the road.
"The national road safety committee should also show the way by discussing with relative transport stakeholders and road users alike on the importance of curbing road carnage in the country,” he said.
He added that although Tanzania amended its Road Safety Act in 1996 to require all bus owners to fix speed governors in their buses, the exercise couldn't yield the expected results as accidents increased dramatically.
Of course something is wrong somewhere, and a solution to the problem must be found quickly.
According to latest statistics, last year alone, 926 bus accidents claimed 332 lives and injured 1833 people.
He said this year alone, a total of 8,164 accidents has occurred, causing 1,126 deaths and 6,910 people were injured.
He said Tanzania Bus Owners Association has signed a contract with the Arusha-based Utrack system for the latter to install a tracking system for buses.
However, talking to this reporter at a meeting involving all Taboa members, some bus owners were unhappy with the initiative apparently because it will be difficult for them to install the equipment because it involves a lot of money.
Other Taboa members believe that the association is right to urge its members to install the U-Track System for the safety of passengers and the buses.
However some transport experts in the country have broken the silence and are warning the alarming wave of fatal road accidents will not abate unless only professional drivers are allowed to man lorries and passenger buses.
The road carnage continues to claim hundreds of lives and leaves thousands with permanent disabilities.
Speaking to this paper, some experts categorically stated that shortage of professional drivers, particularly of passenger vehicles, was the major cause of accidents  currently claiming  an average of 2,600 lives each year.
Statistics on  road accidents  in Tanzania have remained shockingly high for years now.
Apart from almost 3,000 people dying annually, thousands are left with permanent disabilities caused by severe injuries.
Alarming occurrences have involved upcountry-bound buses and the government is yet to find a lasting solution to the nagging problem.
The experts are particularly worried by an apparent failure by authorities to strictly enforce existing road safety regulations, sighting high level of corruption as the root cause of the problem.
Dr Emmanuel Mushaka, a retired university professor said it should be mandatory for lorries and buses to be handled only by professional drivers who have passed the necessary tests.
“The government should firmly declare that drivers must go to school, otherwise they are not allowed to operate vehicles,” he said.
He said although they have not done research on the matter yet, unqualified drivers account for over 70 per cent of bus and lorry drivers in Tanzania, because they get driving licences through dubious means, including bribery.
He estimated that as many as half of passenger bus drivers in the country are using fake or illegally obtained licences.
He urged police to make extra efforts to boost road safety in order to reduce persistent road accidents, which cost lives of innocent civilians and their properties.
Mr Mrutu said should serve as a challenge to the police and other road safety security organs to intensify efforts to make roads safer for all users.
“We want road safety laws to be enforced including the safety of vessels and passengers. The police must ensure that this is implemented,” he concluded.

He reminded traffic police to not only jump into action when an accident has happens by arresting the driver of the bus, and Sumatra imposing a ban on its operations.
Mrutu said the problem will persist and grow unless police and other law enforcers strictly enforce safety rules by holding accountable all those who break the road safety rules and regulations.

Shirika la ndege la Precision na Kenya Airways wadhamini mashindano ya Gofu

PRESS RELEASE/TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Dar es Salaam, November 18th 2011. Shirika la ndege linaloongoza Tanzania la Precision wakishirikiana na shirika la ndege la Kenya Airways wanayofaraja kutangaza udhamini wao katika umoja wa Gofu (TGU) ikiwa imeandaliwa na Gymkhana Club mjini Arusha ikifanyika kuanzia tarehe 10 hadi 11 Desemba 2011 jijini Arusha.

Akiongea wakati wa mkutanao na waandishi wa habari katika klabu,,Mkurugenzi wa Biashara wa shirika la ndege la Precision Mr. Phil Mwakitawa alisema kwamba mashindano ambayo yamedhamiria kukusanya wahiriki zaidi ya 100 mpaka 150 kutoka Nairobi, Arusha na Dar es Salaam ni nafasi nzuri kwa washirika wa kampuni zote mbili za ndege kujihusisha katika kutangaza uboreshaji wa afya kwa njia ya michezo ya gofu.

Na wakati huo huo Meneja wa nchi ya Tanzania wa Shirika la ndege la Kenya Airways Bi. Lucy Malu aliongeza kwamba shirika la ndege la Kenya na Precision Air waliwahi kuunga mkono hapo awali na pia wanayofaraja ya kuendelea kuunga mkono hata kwa mwaka huu kwasababu ni sehemu ya kutangaza gofu ya ubora kwa Afrika Mashariki nzima.

Mwenyekiti wa Umoja wa Gofu Tanzania , Bwana. Paul Matthysen ameomba udhamini katika shirika la ndege la Precision na Kenya Airways’ kwenye mashindano haya kama njia ya kuchangia katika kutangaza Gofu Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

“Mchezo wa Gofu Tanzania na Afrika Mashariki bado ni mchezo unaaokua. Kwa kupitia mashindano kama haya ndipo tunapata uzoefu na kuwa katika nafasi ya juu duniani katika mchezo,” Alisema huku akisisitizia watu waje kushuhudia Mchezo huu utakaofanyika pale Gymkhana Arusha.

Shirika la ndege la Precision na Kenya Airways wametia saini katika mkataba wa makubaliano ya udhamini na Klabu ya Gymkhana Arusha kama wadhamini wakuu wa mashinano haya kwa mwaka 2011.

Monday, October 3, 2011

‘WAMATO chatoa huduma ya ARVs kwa wagonjwa wa UKIMWI Mbezi Beach’

Mama Basila Chuwa, Mwenyekiti wa WAMATO huko Mbezi Beach

Na Nasser Kigwangallah
KIKUNDI cha Akina Mama na Watoto (WAMATO) cha Mbezi Beach jijini Dare s salaam, ni miongoni mwa vikundi ambavyo hutoa huduma za kijamii kwa kuwasaidia watoto, akina mama na wajane ambao kwa namna moja au nyingine wameachwa na wazazi wao au waume wao waliofariki kutokana na ugonjwa wa UKIMWI.
Hivi sasa kikundi hicho kinatoa chakula, dawa za kurefusha maisha (ARVs), elimu n huduma za fya kwa wagonjwa wa UKIMWI wapato sitini hivi; wanake na wanaume khmsini n watoto kumi katika eneo la Mbezi Beach.
Hizi ni juhudi za kupongezwa sana na zinapaswa kuungwa mkono na wasamari wema hapa jijini na nchini kote kwa ujumla.
Pia WAMATO inaendesha shule ya awali na msingi hapo hapo Mbezi Beach, kwa kusomesha wanafunzi kutoka familia za kimaskini wa eneo hilo.
Shule hiyo, inayoitwa kwa jina la Bajeziro; ina wanafunzi mia tatu na tayari imesomesha wanafunzi elfu moja na mia mbili toka kuanziswa kwake miaka kumi iliyopita.
Wengi wa wanafunzi hao hivi sasa wako katika shule za sekondari na wengine wako chuo kikuu.
WAMATO inafadhiliwa na shirika moja la Canada ambalo limesema litasitisha msaada wake kwa kikundi hicho ifikapo mwezi Machi mwaka kesho kwa kuwa limekuwa mfadhili wake mkuu kwa takriban miaka kumi sasa.
“Kutokana na kukoma ufadhili wake huo, WAMATO sasa iko njia panda, haijui itawasaidia vipi akina mama na watoto wanoishi na virui vya UKIMWI na pia kutoa huduma ya chakula, dawa na sare za shule kwa watoto yatima, ambao wengi wao ni maskini sana,” anasema Mama Basila Chuwa, Mwenyekiti Mtendaji wa WAMATO.
Anaongeza kusema kuwa wagonjwa ambao anawahudumia hivi sasa ni maskini mno, hawajiwezi kwa lolote na hapana budi kuendelea kuwasaidia ili maisha yao yaweze kuimarika.
Anasema na kama hatopata msaada wa kutoha kutoka serikalini, mashirika ya kijamii na wahisani mbalimbali wa ndani na nje; bila shaka huduma zake za kutoa chakula, dawa na elimu bure kwa watoto yatima, maskini na wale wanaoishi katika mazingira magumu zitazorota.
Akizungumza kwa uchungu sana, Maria Magdlena Hasara (umri miaka 65) mama anayeishi kwa UKIMWI na kupewa msaada wa chakula, dwa n matibabu mengine kutoka WAMATO, anasema hali yake sasa imeimarika kutokana na msaada huo.



Anasema alipata UKIMWI miaka mitatu iliyopita kutoka kwa binti yke aliyekuwa na ugonjwa wa ukimwi na kupata uja uzito.
Alimsaidia kujifungua, bahati mbya ana hakutumia mipira wakati akimsaidia kujifungualia nyumbnani.
“Toka wakati huo, hali yangu ilibadilika ghafla na kujikuta nikiwa nimeambukizwa UKIMWI,”anasema.
Anongeza kusema kuwa kwa msaada wa WAMATO, hali yake ni nzuri na analea wajukuu sita, wawili wa huyo binti yake ambaye alifariki dunia mwaka 2007 na kumwachia watoto wawili; Tausi (15) na Neema (3)na wengine wanne ni watoto wa ndugu zake ambao nao wamekufa kwa ukimwi.
Maisha ya bibi huyu ni magumu sana. Anaishi kwa kugonga kokoto na wajukuu zake hao wanamsaisdia, hivyo maisha yanakwenda.
Na bila ya msaada wa WAMATO sijui hali yake leo ingekuwaje?
Kwani WAMATO wanamsaidia chakula, dawa na elimu kwa wajukuu zake hao, zikiwemo sare za shule.